Tarehe: Alhamisi–Jumamosi, 25-27 June 2026
Matukio:
- Usafiri SGR
- Utalii Mikumi
- Burudani & Kumbukumbu (kuzaliwa, harusi, shahada)
- Muziki Tiba
Gharama: Tsh 280,000/=
Inajumuisha: Usafiri wa SGR,Utalii Mikumi (usafiri + mwongoza watalii), Chakula,Burudani & Kumbukumbu, Huduma ya Kwanza, Malazi na Muziki Tiba.