Geriatrics Care / Seniors Care

-BEES-Bread; Exercise; Empower; Soup.-

“Uzee ni Safari ya Heshima — Tuendelee Kusonga, Kufurahi na Kuunganishwa.”

Tarehe: 13–14 February 2026

Safari ya Afya na Furaha kwa Wazee & Wastaafu

Tarehe: Ijumaa–Jumamosi, 13–14 February 2026
Matukio:
  • Usafiri SGR
  • Utalii Mikumi
  • Burudani & Kumbukumbu (kuzaliwa, harusi, shahada)
  • Muziki Tiba
Gharama: Tsh 250,000/=
Inajumuisha: Usafiri wa SGR,Utalii Mikumi (usafiri + mwongoza watalii), Chakula,Burudani & Kumbukumbu, Huduma ya Kwanza, Malazi na Muziki Tiba.
Malipo:
LIPA NAMBA (M-Pesa): 52078357
Jina: Community Center for Preventive Medicine
(Baada ya kulipa, tuma SMS ya uthibitisho na Jina Lako kwa 0714 510 195 / 0767 001 818.)
Taarifa za Mshiriki / Mzee

Taarifa za Mtu wa Karibu

Maswali zaidi: 0714 510 195/ 0717 310 241 or wellness-safari@ccpmedicine.org